Wapendwa ndugu zangu
Naitwa MC Foma Foma na shughuli zangu zinajieleza kwa hilo jina. Nimefungua mtandao huu kutaka kuwasiliana nanyi kirahisi katika kupashana habari, kubadilishana na kupanuana mawazo na pia hata kukosoana pale inapobidi katika fani ya u-MC na sherehe mbalimbali.
Kwa leo sina cha kuongea sana ila baada ya mambo kukaa sawa nitakuwa nanyi katika mada tofauti ambapo nitakaribisha maaoni na mijadala
Wakatabahu
FF
Wednesday, July 18, 2007
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
15 comments:
KARIBU SANA KWENYE UWANJA WA BLOGGING.
Karibu sana mzee
Mzee Foma Foma,
Karibu mambo vipi lakini I hope harusi zinapatikana huko za kutosha. Hongera zana kwa kuanza kuendesha shughuli zako kitaalamu namna hii.
Mubusi
KARIBU SANA YAKHE, ILA UWE NA SUBRA MAANA HUKU WATU WAKANDAMIZA TU. ILA HONGERA SANA KWA UAMUZI WAKO MAANA DUNIA YA SASA NI KAMA KIJIJI MAWASILIANO MUHIMU YAKHE NA BIASHARA MATANGAZO
hajilukamba@hotmail.com
karibu MC
MASTER OF CEREMONY
MICROPHONE CONTROLLER
MUSIC COMPOSER
MIC
MINISTER OF COMMUNITY
Haaya karibu bwa'mzee. na natumaini una roho paana kama sebule ya sultani.. maana huku pana migandamizo ya haja.
sisemi kuwa watu wote wanakosoa , la hasha! wala sisemi kuwa kuwa kukosoa ni kubaya .. ila jamani kuna watu ni kama huwa wanategeshea tuu- lisemwe jambo, aje na kitu negative... negative bin hasi!
basi natumaini tutakuwa pamoja vema tu na tutajifunza kutoka kwa kila mmoja maana hujafa hujaumbika nami naongezea hujafa, hujahitimu!
Tuko pamoja!!
FF nafurahi kuona blog yako nimefurahi na ninakutakia kila la mafanikio in this and every thing coz u made me laugh ulipokua mc kwenye send yangu kwake u r gud natumain na huku utakua na vi2 vizuri pia
tchao
sawa mzee na sisi tunakusubiri kwa ham
Nimepita pale kwa Michuzi ndio nikakupata. Karibu sana.
welcome
jamco
bomba sana bw. foma
vizuri sana kijana
fomafo
bado ujachelewa babaake tuweke tuko pamoja na ninakupa ufagio mkubwa cha kazi yako nzuri
cioooooooooo....
bado ujachelewa babaake tuweke tuko pamoja na ninakupa ufagio mkubwa cha kazi yako nzuri
cioooooooooo....
frank
Post a Comment